Rais Magufuli Awaalika Viongozi Wakuu Wastaafu Ikulu Lowassa, Sumaye nao Ndani

Rais Magufuli Awaalika Viongozi Wakuu Wastaafu Ikulu Lowassa, Sumaye nao Ndani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Jumanne, Julai 03, 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam.


Viongozi walioarikwa ni Marais, Mhe. Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Maspika na Majaji Wakuu.


Hii ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana na Rais Ikulu.

 
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad