Mabweni ya shule ya msingi St. Joseph Rutabo iliyopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera yameungua moto usiku wa kuamkia leo.
Bweni hilo limeteketea leo Alhamisi Julai 26, 2018 huku mashuhuda wa tukio hilo wakisema viongozi wa wilaya hiyo wapo katika kikao na walimu kujadili tukio hilo.
Kwa mjibu wa Afisa elimu mkoa wa Kagera Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi wa darasa la tano ameungua na kufariki hapohapo lakini wengine wanaendelea kupatiwa huduma,