Ronaldo Afanyiwa Vipimo Juventus

Ronaldo Afanyiwa Vipimo Juventus
HUKU  shamra za fainali ya Kombe la Dunia baina ya Ufaransa na Croatia zikiwa zinaendelea kusikika duniani, masikio na macho ya wapenzi wa soka duniani yameanza kuhamia katika kuwasili kwa nyota wa mchezo huo duniani, Cristiano Ronaldo jijini Turin kujiunga na timu ya Juventus akitokea katika timu ya Real Madrid.


Ronaldo, mwenye umri wa miaka 33, amewasili katika timu hiyo na kufanyiwa vipimo mbalimbali ambapo yuko mbioni kukamilisha uhamisho wake kwenda timu hiyo ya Italia, akiwa ameondoka Real Madrid ya Hispania aliyoitumikia kwa miaka tisa na kuipatia ubingwa wa ligi ya nchi hiyo mara nne.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad