RPC Azungumzia Lema kupigana na askari, Lema naye azungumza



Leo July 1, 2018 Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema anadaiwa kuwa amepigana na askari aliyejulikana kwa jina Inspector Antony baada ya kutaka amnunulie skafu kwa ajili ya mtoto wake.

Baada ya taarifa hizo AyoTV imempata Kamanda wa Jeshi la polisi Arusha Ramadhan N’ganzi ambaye amethibitisha kupokea taarifa hizo nakusema atazifanyia kazi na kwamba Lema ameshampigia simu akitaka waonane naye.


VIDEO:

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad