Shabiki Azimia Baada ya Kuitwa na Chris Brown (VIDEO)

Shabiki mtoto huko Marekani ambaye alipata nafasi ya kusimama jukwaani wakati Staa wa RnB Chris Brown alipokua aki-perform, kabla ya kuzimia Shabiki huyo alikumbatiwa na CB na baada ya hapo alizimia.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Chris Brown amepost video hiyo ikimuonyesha mtoto huyo akizimia baada ya  kukumbatiwa na kusema kuwa alipata uoga baada ya tukio hilo “Nawapenda mashabiki zangu, lakini nilipata uwoga kwa sekunde, huyu mtoto ni legendary” VIDEO:
A post shared by CHRIS BROWN (@chrisbrownofficial) on

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad