Shadee ambaye hivi karibuni ameonekana kupost picha ya mpenzi wake mpya licha ya kuwa amekataa kuthibitisha ila kakiri ni kweli aliénda kuenjoy nae kwenye siku yake ya kuzaliwa Dubai. VIDEO:
Shadee Apata Mchumba Mpya Baada ya Kuachana na Mtangazaji Mwenzake wa Clouds
0
July 26, 2018
Mtangazaji wa Clouds TV Shadee amezungumza na millardayo.com pamoja na Ayo TV kuhusu mahusiano yake mapya ya kimapenzi ambapo moja ya swali aliloulizwa ni pamoja na kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi mwenzie kama inavyodaiwa ambapo amejibu hajawahi kufanya hivyo.

Tags