Msanii wa singeli nchini, Sholo Mwamba ambae hapo awali aliwahi kufanya kazi na muna love ameongea na waandishi wa habari na kusema kuwa amesikia habari za muna kufiwa na mtoto wke na amesikitishwa sana lakini yeye na muna hawana mawasiliano yoyote hivyo anatuma salamu zake za pole.
Sholo anasema kuwa hata katika akaunti zake za instagram alishamblock kwaio hana namna ya kuwaisliana nae lakini hajawahi kujua habari zozte za peter lakini ameshawahi kuonana na casto mara nyingi sana na hata hospitali mtoto alipokuwa akiumwa walikuwa wakiangaika na casto hospitali.
Muna ameniblock instagram , lakini habari za msiba wa mtoto ninazo.nampa pole sana .kuhusu huyu peter mimi sijawahi kumuona kabisa ila nilishawahi kunuona casto mara nyingi sana lunc na hata mtoto alikuwa akiumwa tulikuwa tunaenda na casto hospitali na kila sehemu .
"nimeondoka kwa muna kwa sababu ya maswala hayo hayo ambayo sasa hivi ambayo sasa hivi yanamtokea puani sasa hivi, niliondoka pale kwa sababu siwezi kuwa nawaita wakina dogo janja baba.
Sholo Mwamba: Nilitoka kwa Muna Sababu ya Mambo Yanamtokea Puani sasa Siwezi Kuwaita Wakina Dogo Janja Baba
0
July 20, 2018
Tags