Yusuph Mlela anasema kuwa ukweli utabaki kuwa tangu Kanumba amfariki basi na bongo movie imeshakufa hakuna anaefanya movies kwa kipaji bali kwa maslahi yao binafsi na vijana wengi wako kwa ajili hiyo.
tangu kanumba amfariki basi na bongo movies imekufa kabisa, vijana wengi wanaingia katika bongo movies kwa sababu ya kutafuta majimama tu ya kuwalea.
Akiwa kama mmoja ya wasanii wa bongo movies hayo ndio maoni yake nayoona kutokana na soko la movies sasa hivi lilivyo, ingawa wapo wanaobishana na kauli hiyo ya kuwa kanumba amekufa nna bongo movis imekufa.