Mskize zaidi
Katika mahojiano aliyoyafanya na Felix Red sister fei pia amesema kwamba tayari ameshamtambulisha mpenzi wake huyo mpya kwa ndugu zake na sasa hata heshima ipo na wameamini sio kiki.
Mengi yanayosemwa na wengi ni kwamba kijana Hollystar anabemendwa lakini sister fei amefunguka utu uzima wa mpenzi wake huyo na pia Amemsifia kwamba Hollystar amemtuliza
Pia dada huyu amejibu kwa undani kuhusiana na mpenzi wake huyo kushinda na taulo mchana kutwa.
VIDEO: