Once again Mr Flavour na Diamond Platnumz wanafanya kolabo nyingine baada ya kufanya vizuri na kolabo yao ya kwanza ya ,Nana’ .
Awamu hii ni Mr Flavour ndiye aliyemshirikisha Diamond Platnumz na mzigo unaitwa ‘Time to Party’ muongozaji wa kichupa ni Director Patrick Elis.
VIDEO: