
Ubelgiji imefuzu Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifunga Brazil bao 2-1
Ubelgiji wamejipatia magoli hayo kupitia Fernandinho(aliyejifunga) na Kelvin De Bruyne huku bao la Brazil likifungwa na Renato Agusto
Ubelgiji sasa itavaana na Ufaransa kwenye mchezo wa Nusu Fainali.