Ufaransa na Ubelgiji Kuchuana Nusu Fainali Kombe Leo

Ufaransa na Ubelgiji Kuchuana Nusu Fainali Kombe Leo
Timu ya kabumbu ya Ufaransa kuchuana na timu ya Ubelgiji katila mechi ya nusu fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi

Timu ya kabumbu ya Ufaransa kuchuana na timu ya Ubelgiji katila mechi ya nusu fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi

Mchuano kabambe kati ya Ufaransa na Ugelgiji unasubiriwa kwa hamu kubwa usiku wa Jumanne  katika uga wa Saint Petersburg . Kipengo cha mechi hiyo kÅŸtapigwa saa tatu kamili majira ya Uturuki na kuoneshwa moja kwa moja  kupitia tovuti ya TRT1, TRT 4K na tovuti ya fifa2018.trtspor.com.tr 

Muamuzi wa mechi hiyo ni raia kutoka Uruguay Andres Cunha.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad