Ukipata Mke Mwaminifu na Mnashirikiana Kwenye Maendeleo, Mthamini Sana...

Wanaume wenzangu na mie, Ukipata Mke mwaminifu, mnayeshirikiana kwenye Malezi vyema, Asiyekuwa mshirikina, anayeamini katika maendeleo hata kama hana sura, wewe mthamini sana.... sana...... sana..... sana.... Hata kama haleti kipato, sawa sawa tu, mthamini sana. Mwanamke anaweza kugeuza maisha yako yakawa living hell kabisa. Mwanamke ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kuharibu maisha ya mtu, so ni muhimu sana kuwa makini wakati wa kuoa na kama umeoa mwanamke mwema mthamini sana sana sana..... Sie wanaume tunawaitaji wanawake as we get older than they need us!!!!!

Na nyie Dada zetu, thaminini hawa wanaume pia, maana yake, twaweza pata pesa, tukajijenga vizuri, ila sijui mwaingiwa na pepo gani, watoto wakikuwa mnaanza kututenga nao na kutamani kujitegemea, mwisho waka hata mna attempt kutuua, yani mimi sijui wanawaka mna tabu gani, the more mnakuwa the less mnaituitaji, but the more we get older the more we need you.....
NI CHANGAMOTO KUBWA SANA,!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad