Vera Sidika Kumpeleka Mpenzi wake Kumtambulisha Kijijini Kwao

Vera Sidika Kumpeleka Mpenzi wake Kumtambulisha Kijijini Kwao
BAADA ya kukinukisha katika mitandao na TV, muuza nyago ambaye pia ni mwanamitindo maarufu kutoka pande za Kenya, Vera Sidika yupo mbioni kumpeleka mchumba wake ambaye ni mwanamuziki, Otile Brown kijijini kwao.

Kwa mujibu wa Mtandao wa SDE, Vera ambaye yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Otile kwa zaidi ya miezi sita, anafanya hivyo ili mpenzi wake huyo aweze kuwatambua ndugu pamoja na familia zake alikokulia huko Jimbo la Magharibi ya Kenya. Katika safari hiyo, wawili hao wataongozana na mtangazaji wa redio maarufu, Jalang’o.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad