VIDEO: Mrema Ammwagia Sifa Rais JPM, Anena Haya

Mwenyekiti wa Parole ambae pia ni mwenyekiti wa TLP Mh: Augustino mrema Amemmiminia sifa Rais Magufuli kwa utendajiwake wa kazi na utezi wa Waziri wa mambo ya ndani ambae ni kange lugola na kusisitiza kuwa atapigana na kuwa mstari wa mbele kwenye kumpigania na kuunga mkono shughuli za magufuli.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad