Sheikh Kipozeo ameitaka serikali pamoja na nyumba za ibada kuingilia kati sakata la maadili la vijana wa kileo huku akidai kuna wanawake wanavaa nguo ambazo hazistahili katika jamii.
Video: Wanawake Hawafichi Mizigo Yao Mpaka Tunakohoa Kohoa – Sheikh Kipozeo
1
July 23, 2018
Tags
Mizigo maana yake nini? Kwa nini lisitumike neno la staha kwa mwanamke badala ya hilo linalosound kama aina ya insulting?
ReplyDelete