Waziri Lugola Afanya Mazungumzo Na Kamishna Jenerali Wa Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji

Waziri Lugola Afanya Mazungumzo Na Kamishna Jenerali Wa Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,walijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam baada ya Waziri Lugola kurejea kutoka jijini Mbeya

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad