Msanii wa muziki anayefanya kazi zake Mombasa Kenya, Kelechi amefunguka na kudai msanii mwenzake Brown Mauzo hawezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu.
Siku chache zilizopita Brown Mauzo aliibuka na kufunguka juu ya mapenzi yake kwa msanii wa filamu Tanzania Wema Sepetu na kudai anataka kumuoa jumla jumla.
Kwenye mahojiano na Enews ya East Africa Tv, Kelechi amefunguka na kudai Brown hawezi kumuoa Wema Sepetu wala hata kumuhudumia hawezi:
Huyu Brown ni mtoto mdogo sana hawezi kumpata Wema Sepetu alafu isitoshe ni Dogo sana kwa Wema na pia hana hata hadhi ya kuwa naye kimapenzi”.
Lakini pia Kelechi amedai Brown amekimbia Mombasa na kurudi Tanzania baada ya kutembea na mke wa Meneja wake.
Wema Sepetu Agombaniwa na Wanamuziki Viben Ten vya Kenya...Wataka Kujiweka Kimapenzi
2
July 11, 2018
Tags
Nyie msilete ushabiki wenu….!!!!!
ReplyDeleteHapa panga pangua kama si Haji Manala basi Ni Konde boy....
Mr Kiboko ya Mabishooooo…!!! Jina nimmsahau… Nani Vile..????
Nilikutana nae anaomba Visa kwenda kumuona Madam Sepetunga...Jina tu limenitoka!
Mdau...anaurea Hanolapa
Delete