Yanga Wanahaha Baada ya Hati Hati za Yondani Kuhamia Simba


Baada ya viongozi wa Yanga kupata taarifa beki wao Kelvin Yondani huenda akajiunga na Simba muda wowote wameuita pamoja na Hassan Kessy ofisini kwa Abbas Tarimba kwa ajili ya majadiliano ya kumalizana nao.
:
Inaelezwa Yondani ameshakubaliana kilakitu na Simba kikichobaki ni kuingiziwa mzigo kwenye account yake asaini mkataba lakini viongozi wa Yanga wanajaribu kupambana kuzuia dili hilo.
:
Yondani na Kessy hawajasafiri kwenda Kenya kwenye mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Gor Mahia kwa sababu mikataba yao na Yanga imefika mwisho.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad