Zakaria Mambo Yamchachia Mahakamani .....Aongezewa kesi ya Uhujumu Uchumi na Kumiliki Bunduki Bila Kibali

Zakaria Mambo Yamchachia Mahakamani .....Aongezewa kesi ya Uhujumu Uchumi na Kumiliki Bunduki Bila Kibali
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Musoma hii leo Jumanne, Julai 10, 2018 imempa dhamana mfanyabiashara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zakaria anayekabiriwa na mashtaka mawili ya kujeruhi kwa risasi maofisa wawili wa Usalama mkoani Mara.

Zacharia ambaye anadaiwa kutenda kosa hilo  Juni 29, 2018 katika kituo cha mafuta anachokimiliki, amesomewa mashtaka mengine ya uhujumu uchumi na kumiliki bunduki na risasi bila kibali. Katika makosa hayo, Zacharia amenyimwa dhamana kwa kesi hizo hadi Julai 12 mwezi huumwaka huu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad