Alichokisema Samatta Baada ya Kupiga Hat Trick Kwenye Kufuzu Europa League

Alichokisema Samatta Baada ya Kupiga Hat Trick Kwenye Kufuzu Europa League
Usiku wa jana mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta aliasndika historia yake ya mpya katika maisha yake ya soka kwa kufunga hattrick yake ya kwanza katika michuano ya soka barani Ulaya Europa.

Baada ya kufanya tukio hilo, Samatta alishindwa kuzuia hisia zake mpaka alipoamua kuandika ujumbe kupitia Instagram kuonyesha furaha yake hiyo.

"Nina furaha kufunga hat-trick yangu ya kwanza nikiwa na genk usiku wa leo,naimani nyingine nyingi zinafuata. HAINA KUFELI," ameandika Samatta.

Katika mchezo huo ambao KRC Genk walicheza dhidi ya Brondby kwa mabao 5-2. Samatta alifunga magoli yake dakika ya 37, 55 na 70.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad