Alikiba na Mkewe Wawakumbuka Watoto Yatima Watoa Msahada

Alikiba na Mkewe Wawakumbuka Watoto Yatima Watoa Msahada
Msanii wa muziki Alikiba akiambatana na mke wake pamoja na watu wake wa karibu siku ya jana walitembelea kituo cha watoto yatima cha Amani Orphanage Foundation kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali.


Muimbaji huyo amefanya tukio hilo ikiwa ni siku chache toka arejee nchini Tanzania akitokea Toronto nchini Marekani kwenye tamasha la Africa All Star Music Fest.

“Education,Food,Shelter, And ,Love That’s All They Need From You ❤️ me and my lovely Wife 🤪 We Do #AmaniOrphanageFoundationKigamboni #KingKiba,” aliandika Alikiba kupitia instagram yake. Angalia picha zaidi.



Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unaitwa msaada sio msahada

    ReplyDelete
  2. huyu mwandishi kila mara anakosea kuandika, sijui anaandika akiwa tungi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad