Msanii wa muziki Alikiba akiambatana na mke wake pamoja na watu wake wa karibu siku ya jana walitembelea kituo cha watoto yatima cha Amani Orphanage Foundation kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali.
Muimbaji huyo amefanya tukio hilo ikiwa ni siku chache toka arejee nchini Tanzania akitokea Toronto nchini Marekani kwenye tamasha la Africa All Star Music Fest.
“Education,Food,Shelter, And ,Love That’s All They Need From You ❤️ me and my lovely Wife 🤪 We Do #AmaniOrphanageFoundationKigamboni #KingKiba,” aliandika Alikiba kupitia instagram yake. Angalia picha zaidi.
Alikiba na Mkewe Wawakumbuka Watoto Yatima Watoa Msahada
2
August 21, 2018
Tags
Unaitwa msaada sio msahada
ReplyDeletehuyu mwandishi kila mara anakosea kuandika, sijui anaandika akiwa tungi
ReplyDelete