Aliyemuua Mkewe Kwa Kumnyima Unyumba Ahukumiwa Kunyongwa


Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mkusa Isack Sepetu amemuhuku Mfanyabiashara Abdallah Mohamed Kangoba mwenye umri wa miaka 43, adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe kwa kumpiga mapanga baada ya kunyimwa tendo la ndoa usiku wa kuamkia Oktoba 3, mwaka 2013 katika kijiji cha Donge Mtambile, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad