Basata Yaguswa na Hali ya Ommy Dimpozi Yatuma Ujumbe Huu

Basata Yaguswa na Hali ya Ommy Dimpozi Yatuma Ujumbe Huu
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo pia ni walezi wa sanaa hapa nchini wameguswa na hali ya ugonjwa wa msanii wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘ Ommy Dimpoz’ ambaye yupo nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji wa koo.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Basata wameandika;

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad