Ben Pol "Nilizaliwa Baba Yangu Akiwa Jela, Nikapelekwa Anione Nyuma ya Nondo Akanipa Jina la Majuto"


Siku 40 baada ya kuzaliwa, Ben Pol alipewa jina la 'MAJUTO' akiwa gerezani Keko mahali ambapo baba yake alikuwa amefungwa.

"Mama yangu alikuwa na ujauzito wangu kipindi Baba yupo jela Keko. Baada ya kujifungua akanipeleka gerezani kwa mzee, akaniweka kwenye zile nondo za kuongelea na mfungwa na ndipo nikapewa jina pale, nikaitwa MAJUTO. Baada ya kubatizwa ndio nikaitwa Bernard." alisema @iambenpol kwenye moja ya interview zake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad