Beyonce Ashinda Kesi ya Jina Lake Kutumika Kibiashara na Mtu Mwingine


Mwaka jana, Beyonce alihusishwa kuingia kwenye mgogoro wa kisheria na kampuni moja ya mjini Los Angeles ambayo ilijaribu kusajili kibiashara jina la 'Poison Ivy Park' jina ambalo linalandana na chapa ya bidhaa za nguo za Beyonce 'Ivy Park'
-
Sasa taarifa mpya ni kuwa The Queen Bey ameizima kesi hiyo kwa kushinda. Kwa mujibu wa mtandao wa The Blast, Beyonce amefanikiwa kushinda kesi hiyo dhidi ya kampuni (42/72 Inc.) ambayo ipo chini ya jamaa anayeitwa Mike Lin.

Baada ya kumalizika kwa shauri hilo, timu ya Beyonce ilitoa maelezo ya kwanini wameamua kufanya hivyo: Sababu kubwa ni kuondoa mkanganyiko kwa watu kwenye ishu za kibiashara.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad