Breaking News:Nandy Atangaza Kuweka Hadharani Waliovujisha ile Video Akiwa na Bilnass


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nandy amefunguka haya:

From @officialnandy - Hii picha najua inawakumbusha vingi sana!! Ukimya wangu wa miezi kadhaa sio sababu nimesamehe na kusahau Tu! Bali nilitaka kupata ushahidi uliokamilika!! Najua mnajua mlichokifanya juu yangu na kuwa watesi wa kazi yangu na kuharibu sifa yangu na jina langu Mimi NANDY Najua mnajua jinsi gani nimepitia Mateso!! Namshukuru Mungu kwa kunikamilishia nilichokitaka.. kama mlivyofanya kunichafua mitandaoni na mini nitaweka ushahidi wangu wote wa maandishi wa simu wa maelezo na picha kuanzia chimbuko la ile Clip hadi mlivyo isambaza. Leo jioni nitaweka kila kitu wazi ili niwe na Amani 😭...!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad