Breaking News..Waziri Kigwangala Amepata Ajali Mbaya Asubuhi hii..Hali si Nzuri..Mmoja Afariki

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla amepata ajali akitokea Arusha hali yake ni mbaya na wanasubiri Helicopter ili wamhamishe Hospitali na Mtu mmoja Mwandishi wa habari amefariki" amesema Mbunge wa Mbulu Vijijini Flaitey Masai.

Tutawaletea Habari kamili


Source:JF

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad