Calisah Amchokonoa Harmonize... Awaita Wachora Tatoo za Wapenzi Wao Washamba Kama Wamakonde wa Mtwara

Calisah Amchokonoa Harmonize... Awaita Wachora Tatoo za Wapenzi Wao Washamba Kama Wamakonde wa Mtwara
Mwanamitindo Calisah  amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hawezi kufanya ujinga wa kujichora tatoo ya jina la mwanamke aliyenae katika mahusiano eti ikiwa kamanjia mojawapo ya kumuonyesha kuwa anampenda sana.

Akiongea na moja ya waandishi, Calisah anasema kuwa kumekuwa na tabia ya watu kujichora tatoo za watu walionao katika mahusiano lakini kwa upande wake hiyo ni kama ushamba na amewaita watu hao washamba kama wamakonde kutoka mtwara.

Hii inaweza kuzua gumzo hasa kwa sababu amewataja kabisa na watu anaowafananisha nao lakini hayo ni maoni yake calisah.

Mwanamitido huyo hapa karibuni aliwahi kutangaza kuwa na kampuni inayohusika na kwa bebesha wanawake mimba .


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wa makonda ni watani zako? Wangoni ndo wa aweza kuwatania. Kabila kubwa hilo, lina marais, mawaziri wabunge

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad