Casto Dickson Akana Kuitwa Mario kwa Tunda ''Unaniita Vip Miimi kibenten"

Casto Dickson Akana Kuitwa Mario kwa Tunda
Mtangazaji wa kipindi cha siz kitaa kinachorushwa na Clouds media Casto dickson amekana tuhuma za mashabiki kumuita yeye kiben ten na kwamba maisha yake ya mapenzi tangu yameanza na Tunda amekuwa akilelewa na Tunda hivyo kwa vijana wa mjini wanaitwa mario.

Casto anasema kuwa alichofata kwa tunda ni mapenzi lakini pia yeye na Tunda kila mtu anakaa kwake hivyo unawezaje kumuita yeye kiben ten ilhali yeye anafanya kazi yake na anakaa kwake na pia tunda anakaa kwake.

akiongea na Dizzim online tv, Casto anawazjibu waandishi na kusema ”  how can you call mimi kibenten wakati mimi nakaa kwangu na yeye anakaa kwake na kila mtu anajitegemea‘

Lakini pia Casto ametoa siri ya maisha yake ya mapenzi na kusema kuwa mapenzi yamemuhathiri sana kiasi kwamba endapo atakaa muda mrefu bila kuwa katika mahusiano basi anakuwa too rough.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad