CCM Yateua Wagombea wa Ubunge Katika Jimbo la Monduli, Ukonga na Korogwe

CCM Yateua Wagombea wa Ubunge Katika Jimbo la Monduli, Ukonga na Korogwe
Kikao cha Kamati Kuu Maalum cha Chama Cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge:

Julius Kalanga Laizer – Jimbo la Monduli
Mwita Mikwabe Waitara – Jimbo la Ukonga
Timotheo Paul Mzava – Jimbo la Korogwe Vijijini
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad