Chin Bees Aibwa Wimbo na Msanii wa Uganda “Uganda Mtanitoa Damu”

Chin Bees Aibwa Wimbo na Msanii wa Uganda “Uganda Mtanitoa Damu”
Mkali wa rap kutokea Wanene Chin Bees ameibiwa melody na bit ya wimbo wake wa ‘Kababaye’ na msanii wa Uganda ambaye ametumia melody na bit ya Kababaye na ku-rap kwa lugha ya kiganda kitu kilicho mfanya Chin Bees kuandika kwenye Instagram yake.

Chin Bees ameandika haya kuhusu msanii huyo kumuibia Melody yake…..>>>”Uganda mtanitoa damu hadi hii pia duuuh Sijui hata nisemeje embu nisaidieni hii kababayeeee imekuwaje……….. #basata#beesgang#trapplord” – Chin Bees

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad