CUF wamtupia kombora kali Mtatiro, "Anataka U-makonda na U-jokate"


Chama cha wananchi CUF kupitia kwa Mkurugenzi wake wa habari na mawasiliano, Abdul Kambaya, wamefunguka kuhusu Julius Mtatiro Jumamosi hii kutangaza kujiuzulu na kuhamia CCM  huku akikikosoa vikali chama chake cha zamani. Kambaya amedai kuwa Mtatiro ni muongo kutokana na moja ya kauli zake za kuwa amewahi kuandika ilani cha chama hiko katika uchaguzi mkubwa na pia wameongeza kuwa yeye ndio alikuwa kirusi ndani ya chama hiko kwa kusababisha mgogoro mkubwa unaoendelea..na Kwamba kwenda CCM anataka Umakonda na Ujoketi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad