CUF Yapata Pigo Madiwani Wake Wawili Wajiunga CCM

CUF  Yapata Pigo Madiwani Wake Wawili Wajiunga CCM
Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Madiwani hao wa Kata ya Kilindoni, Hamad Musa na Hassani Mohammed wa Kata ya Jibondo wilayani Mafia wamesema wamefanya uamuzi huo baada ya kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad