Daimond na Wema Mapenzi Kama Yote Hiki Ndicho Walichokifanya Usiku wa Jana

Daimond na Wema Mapenzi Kama Yote  Hiki Ndicho Walichokifanya Usiku wa Jana
Mwanamuziki Daimond jana wamejikuta wakiwa kwenye wimbi kubwa la mahaba na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu katika part ya Birthday ya Romy Jons iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.

Wawili hao wamechafua instagram nzima kwa video yao inayosambaa ikiwaonyesha wakikumbatiana na kufanya yao na kufanya watu wabaki njia panda kwa kujiuliza maswali juu ya hatima ya Wema na Mond.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad