DC Jerry Muro Abaini Haya Baada ya Kufanya Ziara ya Kushtukiza Katika Ujenzi wa Barabara

DC Jerry Muro Abaini Haya Baada ya Kufanya Ziara ya Kushtukiza Katika Ujenzi wa Barabara
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amefanya ziara ya kushtukiza katika barabara ya mchepuko Arusha Bypass katika eneo la Muungano Makumira na kubaini uwepo wavitendo vinavyoashiria ukiukwaji wa taratibu za kazi na haswa katika kazi zinazofanywa na raia kutoka nje.

Muro Pamoja nakuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo itakayosaidaia kupunguza msongamao wa magari kuelekea Jijini Arusha ameonyeshwa kukerwa na tabia ya baadhi ya wageni kufanya kazi zinazoweza kufanywa na watanzania jambo linaloendela kuminya fursa ya vijana wa kitanzaia kupata ajira.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad