
Diamond na Mama yake na familia yake wametumia Jumapili ya Leo Kufurahi na Dylan Mtoto wa Hamisa Mobeto , watu mitandaoni wafurahia sana tukio hili kwani limekuja baada ya Diamond kunukuliwa akimwita Dylan ni Side Kid kitu ambacho hakikuwafurahisha baadhi ya watu hasa mashabiki wa Hamisa Mobetto
