Diva alianza kuwa kumsema mtu anayetaka kumtolea tamko kwa kusema kuwa mtu huyo ni mwembemba , kimbao kimbao na kufanya watu kupata hamu ya kutaka kumjua sana lakini mwisho wa siku aliishia juu juu tu na kusema kuwa kuna watu wakubwa na viongozi wamemuomba ashitishe kutoa tamko hilo
Nimevumilia na nimeshimdwa, hasira iko kali juu sana,itaneni kama kuna mtu nikakuwa nimemkwaza atanisamehee, mwisho wa ubaya ni aibu leo nimesema nitavua mtu nguo.-Aliandika Diva katika ukurasa wake wa instagram.