Fahamu Jackline Mengi Ndio Mwanamke Anaemiliki Mkoba wa Bei Ghali Tanzania.

Moja ya wanamitindo na wapenda fashion Tanzania, mwanamke mjasiriamali na tajiri JacklineMengi ametajwa kama moja ya wanawake wanaomiliki mkoba wenye bei kubwa Duniani ambapo kwa Tanzania inasemekana kuwa yuko pekee yake.

Ukiangalia mkoba huo unaweza kuona ni wa kawaida na haa design yake wengi waliwahi kuwa nao , lakini hapa wanaongelea brand ya utengenezaji wa mkoba huo na pia thamani yake na ubora wake pia.

Mkoba huo unaojulikana kamaa birkin, unatengenezwa na kampuni ya  Hermes nchini Ufaransa na kwa mujini wa moja ya mitandao ya kibiashara Duanini  eBay, mkoba huo unauzwa kwa pesa za $265000 ambapo kwa pesa za kitanzania ni sawa na shilingi milion 60.



Hata hivyo gharama kubwa ya mkoba huo inakuba pale kwenye material ya utengenezaji wake ambapo inasemekana kuwa unatengenezwa kwa kutumia ngozi ya mamba, lakini pia ni kutokana na kuwa kampuni hiyo ya Hermes ni kampuni kubwa na maarufu Duniani.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera mama.
    Je nyumba unayomiliki Ni ya kiwango Na bei ya ujenzi Ni ipi?
    Mungu akuzidishie!!!

    ReplyDelete
  2. Kampita Zari Na Anto Fey... Jamani hongera mwaya.

    ReplyDelete
  3. Hatuna tatizo nae katila utumiaji WA pesa zake apendavyo Ili mradi kodi zetu analipa stahiki Na TRA wanakusanya ..ni shwari Tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad