Gigy Money: Nimechumbiwa Zanzibar Soon Naolewa Sababu Tabia za Mo J Zimenishinda

Gigy Money: Nimechumbiwa Zanzibar Soon Naolewa Sababu Tabia za Mo J Zimenishinda
Msanii Gigy Money karudi tena na time hii ni kuhusu kuolewa ambapo ameelezea picha alizopiga na mwanaume na kisha kuziweka mtandaoni ambapo Gigy kasema kuwa mwanaume huyo kamchumbia Zanzibar na istoshe soon wanatarajia kufunga ndoa. Vipi kuhusu Mo J..?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad