
Mkurugenzi wa ATCL amekanusha taarifa kuwa, Dreamliner ni mbovu na kwamba ilisitisha safari yake ya Mwanza - Dar. Amesema, wamesimamisha safari ili ifanyiwe matengenezo kwani kwa sasa ipo katika majaribio. Ameeleza kuwa, itaanza safari za kimataifa mwezi huu kwenda Mum