Habibu Mnyaa"Kambi ya Upinzani Tanzania Imesambaratika"


Ni kauli ya Mbunge wa bunge la Afika Mashariki Habibu Mnyaa ambaye amefunguka kuhusiana na sakati la hali ya kisiasa nchini na kusema kuwa Kinachopaswa kufanyika sasa kambi ya upinzani ni kujipanga kwasababu hivi sasa kinachosikitisha ndani ya nchi upinzani umesambaratika, ugomvi wenyewe kwa wenyewe wa Chadema anaenda CUF wa CUF anaenda ACT, hali hii haileti afya na tunawapa CCM nguvu ya kuendelea kututawala. 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad