Hakuna Kitu Kinamzuia Alikiba Kucheza Coastal Union:-Mkurugenzi Ufundi TFF

Hakuna Kitu Kinamzuia Alikiba Kucheza Coastal Union:-Mkurugenzi Ufundi TFF
Shirikisho la soka tanzania wamefunguka na kuongelea msimamo wa kile kinachokuwa kikiongelewa kila siku katika mitandao ya kijamii mara tu baada ya mwanamuziki alikiba kusajiriwa katika timu ya coastal union kwa ajili ya kucheza  ligi kuu bara.

Mkurugenzi wa ufundi TFF amefunguka na kukanusha kuwa hakuna sababu yoyote inayomzuia alikiba kucheza katika timu hiyo katika ligi hiyo kisa yeye ni msanii,mkurugenzi huyo alisema kuwa katika mpira hawabagui swala hilo hata kidogo hivyo kwao haina tatizo.

kanuni zetu hazija sema kuwa mchezaji ni lazima awe na kazi moja tu, anaweza kuwa mchezaji wa mieleka, mchezaji wa soka na bado akawa mchezaji wa mpira
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad