Msanii wa Bongo fleva na mwanamitindo maarufu Hamisa Mobetto amefunguka na kudai Mpaka sasa kuna msururu mkubwa wa wanaume waliopanga foleni kutaka ndoa naye.
Hamisa ambaye alizidi kujizolea umaarufu baada ya kuzaa na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz amedai ingawa kuna wanaume wengi wanataka kumposa amekuwa akikataa.
Kwenye Interview na kituo kimoja cha habari hivi karibuni Hamisa amefunguka haya kama sababu ya kukataa ndoa na wanaume waliotayari kumposa ni kukosa nao chemistry:
Wapo wengi tu ambao wamekuja kutaka kutoa posa lakini kuoana na mtu mnatakiwa muwe na chemistry moja. Mimi na Diamond tushakuwa na mtoto lakini nina mwingine pia kama alivyo yeye”.
Hamisa amekuwa Kwenye Mahusiano na Diamond kwa miaka zaidi ya kumi lakini hawajawahi kuanika mahusiano hayo hadharani kabisa mpaka leo hii.
Kuolewa mchezo!!
ReplyDeleteko chemistry ni kugongwa bila ndoa na kuzalishwa tu,wanawake ni mama zetu lakn sometimes akili hawana 10 yrs uko kene mahusiano are you serious
ReplyDeletemimi mwenyewe ni mrembo lakini akija mtu anataka kunioa nitaogopa sababu kuolewa si mchezo kuolewa ni maamuzi makubwa nawapa hongera kwa wanawake ambao wamefanya uamuzi huo mkubwa wa kuolewa na mtu ukiolewa inatakiwa Uwe umejua mtu kwa muda mrefu au miaka mingi sio hivi hivi si rahisi
ReplyDelete