Harmonize na Dully Sykes Kimewaka Tena....


Achana na Utengenezaji wa Video ambayo jana alitangaza kuwa leo wanaenda kuitengeneza @harmonize_tz pamoja na Star wa RnB kwenye Game ya Bongo Fleva @iambenpol au ujumbe wake kuhusu kufanya kazi na One of the best Hip Hop Icon @professorjaytz

Hii ni Nyingine tena ambayo Star kutoka label ya WCB @harmonize_tz ataitoa katika list ya Track ambazo ameshazirekodi mpaka sasa na wakati huu amefanya na @princedullysykes

Kupitia Page yake ya instagram Harmonize amepost na kuandika kuwa  Ngoma na Nusu....!!! Trust me @princedullysykes thanks for another opportunity #KingDully - ikiwa ni mara nyingine tena anapata nafasi hiyo na anashukuru kwa kupata nafasi hii tena ya kufanya kazi pamoja na Dully Sykes

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad