Hii Hapa Zawadi Aliyetoa Joh Makini Katika Birthday ya Fid Q

Hii Hapa Zawadi Aliyetoa Joh Makini Katika Birthday ya Fid Q
Kila inapofika August 13 , msanii Fid Q usherekea kumbukumbu ya  siku yake ya kuzaliwa, kwa mwaka huu msanii mkubwa kutoka katika kundi la Weusi  Joh makini ameamua kutoa wimbo ambao utakuwa ni kama zawadi kwa msanii mwenzie katika siku yake hiyo ya kuzaliwa.

Joh makini anaaamini kuwa Augut 13 ni siku kubwa sana Tanzania katika swala la muziki ukizingatia kuwa msanii Fid Q ni moja ya wasanii wakubwa na wakongwe katika tasnia walifanikisha kwa kiasi kikubwa muziki hasa wa rap kufika hapa ulipofikia.

Loading...
Hii inaweza kuwa mfano kwa wasanii wengine kujituma na kuonyesha ni jinsi gani wanaweza kuwaonyesha wale waliowatanguliwa kuwa wanawakubali , lakini pia kama njia ya kuwashukuru na kuwatia moyo kwa mapambano waliowahi kupigana ili tu kuufikisha muziki sehemu flani.

Fid q ni mojaya wasanii ambao unapotaka kutaja watu waliojitoa kuufanya muziki wa hip hip kufika hapa ulipo basi huwezi kumuacha kumtaja hata siku moja. amewatoa na kuwasaidia watu wengi sana katika hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad