Huwezi Kuwa na Miaka 35 Bado Unafanya Kama Amber Lulu na Young D- Dudu Baya

Huwezi Kuwa na Miaka 35 Bado Unafanya Kama Amber Lulu na Young D- Dudu Baya
Msanii mkongwe kwenye game ya bongofleva Dudubaya amezungumza kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV ambapo amelezea kuhusu taarifa zilizopo kuwa anatafuta kiki ili arudi tena kwenye headlines kama alivyokuwa zamani ambapo Dudubaya amesema kwamba yeye hatafuti kiki ila kiki amezaliwa nazo na istoshe kiki zake nyingi zilikuwa ni zakutoa vipogo kwa watu.

Dudubaya amesema kwamba kiki nyingi zilikuwa zinamkuta toka zamani kutokana na maswala ya ugonvi na vipigo japo kwa sasa yamepungua huku akiitaja sababu ya umri wake umeenda hivyo hawezi kufanya mambo wanayoyafanya Young D au Amber Lulu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad