Jengo la Wizara ya Maji Lakatiwa Umeme

Jengo la Wizara ya Maji Lakatiwa Umeme
Shirika la Umeme nchini Misri (EEHC), limeikatia huduma ya umeme jengo la Wizara ya Maji nchini humo kutokana na malimbikizo ya madeni. Baada ya tukio hilo, Wizara ya Maji nayo imelikatia shirika hilo la umeme huduma ya maji kutokana na malimbikizo ya madeni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad