Jinamiza la Ajali za Moto Kwa Mabasi laendelea...Kidia One Lateketea


SINGIDA: Basi la kampuni ya Kidia One lililokuwa linatoka Mwanza kuelekea Dar limeteketea kwa moto maeneo ya Iguguno shamba

Inadaiwa chanzo cha moto huo ni tairi la nyuma kupasuka na kushika moto

Aidha, abiria wote wako salama hakuna aliyedhurika

Juhudi za abiria na wananchi za kuzima moto huo zilishindikana baada ya moto huo kuwazidi kasi kutokana na upepo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad